Mbunge wa jimbo la Mbutiama pamoja na Uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Butiama wametembelea miradi yote ya ujenzi inayoendelea kujengwa ndani ya Halmashauri kuona kama dhamani ya fedha iliyotolewa na ubora wa majengo yanayojengwa vinaendana (value for Money).Ziara hiyo imewajumuisha pia Waheshimiwa Madiwani wa Wilaya ya Butiama pamoja na watalaam wa halmashauri.
Team nzima imeridhishwa na miradi inayoendelea kujengwa na pia imeshauri wakandarasi kuongeza bidii ili kukamilisha miradi hiyo kwa wakati.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa