Katibu Tawala mkoa wa mara amefanya ziara katika Halmashauri ya wilaya ya Butiama kwa lengo la kukutana na Watumishi wote wa Halmashauri .Akizungumuza na watumishi hao,aliwaasa watumishi kufanaya kazi kwa ushirikiano mkubwa pamoja na kuwa anatambua upungufu mkubwa wawatumishi uliopo kwenye halmashauri zote ndai ya mkoa .Mkuu huyo wa utumishi mkoa ,alisikiliza pia kero na mapendekezo mbalimbali ya watumishi wa halmashauri na kuwaahidi watumishi hao kuzifanyia/kuyafanyia kazi kadri itakavyowezekana ili halmashauri iweze kusonga mbele bila migogoro .
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0769326535/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa