Afisa Elimu taalum Msingi ,ndg.Reuben kaswamila amepokea Tuzo ya kikombe na Cheti cha Pongezi kutoka OR-TAMISEMI baada ya wilaya ya Butiama kupata Ushindi wa tatu Kitaifa.
Tuzo ya Taaluma kwa Halmasahuri zilizoboresha ufauru kwa kiwango cha juu zimetolewa na OR-TAMISEMIambapo Halmashauri ya Butiama ilishika nafasi ya tatu kitaifa kati ya Halmashauri kumi zilizoboresha ufauru katika mitaihani ya darasa la saba kwa miaka mitatu mfululizo(2019,2020 na 2021).
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa