• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
BUTIAMA DISTRICT COUNCIL
BUTIAMA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA BUTIAMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi na Mazingira
      • Ufugaji wa Nyuki
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • makumbusho ya Mwl.nyerere
    • Kilimo cha Mhogo
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Water
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Mipango na Utawala
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
        • Wajumbe wa Kamati EAM
      • Kamati ya Uchumi ,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajiwa
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Sheria
    • zabuni
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali
    • Matukio
    • Habari mpya

JENGO LA DISPENSARI YA MATONGO LAEZULIWA

Saturday 23rd, February 2019
@Matongo


Usiku wa tarehe 20,oct 2018 kulitokea mvua kubwa iliyoandamana na Upepo mkali katika wilaya ya Butiama .Upepo huo Uliweza kuezua jengo la Dispensari ya Kijiji cha Matongo lilokuwa limejengwa kwa nguvu za wananchi.

Wakizungumuzia tukio hilo Diwani wa kata hiyo ya Buhemba Mhe.Boniphace Masero pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe. Magina Nyahuko ,Wamesema wananchi wa kijiji cha matongo na vijiji vingine vinavyozunguka eneo hilo wamepata hasara kubwa kutokana na janga hilo lililosababishwa na Upepo mkali. 

Jengo hilo lililokuwa limejengwa kwa nguvu za wananchi pamoja na halmashauri ya Wilaya ya Butiama ,lilikuwa limeezekwa kwa ukamilifu,limepigwa ripu nje na ndani pamoja na kuwekwa milango na madirisha.

Kwa ujumla wake viongozi hao waliofika mara baada ya tukio hilo wameiomba serikali pamoja na wadau wengine kujitokeza kutoa msaada wa hali na mali kwa wananchi wa kijiji cha matongo na vijiji jirani ilijengo hilo liezekwe Upya  na wananchi wapate huduma waliyokusudia.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 26, 2018
  • Zaidi

Habari mpya

  • ELIMU YA KILIMO CHA VIAZI LISHE YATOLEWA KWA WAKULIMA-BUTIAMA

    January 10, 2019
  • Ziara ya Makamu wa Rais kwenye shamba la Mhogo

    July 07, 2018
  • Waheshimiwa Madiwani wakitembelea Ujenzi wa Zahanati-kijiji cha Matongo

    July 21, 2018
  • Waheshimiwa Madiwani wakitembelea Miradi

    September 01, 2018
  • Zaidi

Video

Mhe.makamu wa rais alipotembelea shamba Darasa Butiama
video

Viunganishi vya haraka

  • Tamisemi
  • Makumbusho ya Baba wa Taifa

Viunganishi Muambata

  • Mkoa wa Mara
  • Utumishi
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Butiama District Council

    Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA

    Simu: 2622163

    Simu: 0756357458

    Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • sera
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa